Wednesday, August 15, 2012

USHAURI: Mawasiliano yamepungua



SWALI: Mambo jesca? yah nimetembelea blogspot yak an kiukwel imenivutia thus why nimeamua nikuandike hii coz it seems lyk ur a wise woman Nina mpenz wang mwak mmoj na nusu sas tatzo ni kwamb nowdays kachange tofaut na zaman nikimtxt ajib txt on tym or mda mwngne acjb kabsa imefika hatua nicpo mtafuta anawez kuuchna hat wik then nikimuuliz tatzo nin or mara kuwasilian san hain maan kam nakupend an non sens reason vp jessy kun mapenz kwel hap? Frankly speakin nampenda sana tena sana an anajua may b ndo maana ananisumbua nisaidie ki2 kimoja ths tym natka nimwache but nashndw nifanyej ili nweze kumsahau? Coz npo kidato cha mthan wa taifa an mda mwing ananipa strec zinazonpa headache

JIBU: Pole sana David ni wazi huyo msichana anakuchakachua kwa kawaida huwezi kumuignore mpenzi wako kihivyo so niwadhi anakusaliti, ila usichukue maamuzi ya kumuacha ghafla jaribu kuchunguza ni kitu gani haswa kinamfanya asiwe karibu na wewe pia jaribu kuchunguza kama kuna mtu anamega tunda lako au lah! pengine hana mpenzi mwingine ila kuna vitu unamkera kila ukiongea naye au unapokuwa nae ndo maana anakukwepa. Njia nzuri ni kukaa chini na kuzungumza, ila kama ni mwanafunzi kama ulivyosema maliza kwanza mitihani manake shule ndo mpango mzima, manake ukifeli halafu mwanamke pia ukamkosa utajikuta unadata, so tuliza akili yako we endelea kuwasaliana nae tu kama kawaida ukimaliza sasa mitihani mwite  ikiwezekana mtoe out mwende sehemu yenye utulivu na muongee mwambie unavyojisikia na umpe uhuru wa yeye aeleze anavyojisika na anavyokuchukulia wewe, mimi naamini hapo mtapata suluhisho kama mtaachana au mtarekebisha makosa yenu, ila usikurupuke kumwacha!

Hayo ndo maoni yangu. Kama kuna mwingine atakuwa na ushauri zaidi basi tiririka hapo chini kwenye comment 

No comments:

Post a Comment