SWALI:
Jesca mambo vipi? nazani upopoa unatuelimisha sana t2 nimesoma page
nying sana kuusu mapenzi kweli unaelimisha naomba nikuulize swali nini hasa
upunguza nguvu zakiume? miambavyo navijua ni punyeto,sigara kwelikuangalia move
za ngono minaona inachangia kwakiasi fulani.je pombe inahamsha isia? kweli
minaona vijana weng wana kunywa viroba vya konyag na ginesi wanasema wakiingia
uwanjani wanapiga ata raundi 5 kama ajanywa kitu pili kwashida je kunaukweli
apo jingine unakuta umeo upona mke wako faragha ukizungusha raundi 1 basi
inasinyaa kabisa ataiweje aisimami tena minakuwa vijiweni tunapiga stor nying
sana na kuna dokta mmoja nirafiki angu sana anasema yeye vijana weng kila
wakija wanakuja naswala ilo sijui chakula kinachangia je kama nichakula
kinachangia tule chakula gani ili matatizo haya yasitokee wanawake ambao wako
na familia zao wanavumilia ving mbaya na mwewe akibahatika kumkwapua ole wako
wewe mwanaume utateseka utadharauliwa mpaka utaletewa haramu iviivi bila kujua
mkewako kama humtoshelezi akikutana namwanaume wa nje tu akipapaswa kidogo
anahema kama mbwa mwenye kiu anashindwa kujizuia dada jesca saidia hawa vijana
nijibu kwenye fb alafu uta wapostia hewani ili kilamtu asome
JIBU:
Kwanza naomba nikwambie mimi sio dokta wa mambo haya ila naandika kile
ambacho kipo kwenye upeo wangu na jinsi ambavyo mimi nafikiri Nikirudi kwenye
swali lako:Kunywa pombe nyingi pia huchangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa
nguvu za kiume unapokunywa viroba vingi ili upige game kwa muda mrefu huna
tofauti na yule anayekunywa dawa mbalimbali au anayechoma sindano ili apige
game kwa muda mrefu wote mpo sawa na madhara yake yote sawa ni pamoja na
kuishiwa nguvu za kiume, Utakapokunywa viroba vingi sawa utaweza kupiga game
kwa muda mrefu ila kuna mishipa ambayo ipo kwenye uume wako unakuwa unailegeza
taratibu bila kujua mfano ni kama nguo inayovutika inaweza kumtosha mtu
mwembamba na mnene pia ila ikivaliwa sana na mtu mnene yule mwembamba hawezi
kuja kuivaa tena inakuwa imashalegea vivyo hivyo na uume. Unakuwa unaichosha
ile mishipa na inalegea matokeo yake siku hujanywa viroba utapiga game kwa
dakika 2 tu na hutaweza tena kuendelea.
Njia nzuri ya kuwa na nguvu za kiume za kutosha ni
1.Kula vizuri: Haswa vyakula vya wanga huongeza nguvu za kiume especially products za mihogo(Cassava)
2.Kunywa maji mengi
3: Pata muda wa kupumzika: mwili wako unahitaji kupumzika sababu ukiwa na uchovu hata performance yako itapungua
4.Fanya mazoezi ya viungo: Mazoezi husaidia sana kufanya mwili kuwa na nguvu na pumzi ya kutosha
NOTE: Tafadhali usimnywee demu wako viroba humkomoi yeye unajikomoa mwenyewe,ukiendelea hivyo iko siku utashindwa kusimamisha kabisaaaa mwisho wa siku utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa.

Hao wanawake za watu unaowasemea tatizo kubwa la waume zao wengi ni
1. Uchovu: wengi wanakuwa na majukumu hata muda wa kufanya mapenzi na wake zao wanakosa kwasababu kazi zimemzidi kila akirudi home kachoka hoi hajiwezi
2. Kisukari: Huu ugonjwa unasumbua wengi sana mtu mwenye kisukari kuridhisha mwanamke ni kazi sana japo kuna wengine wanajitahidi kwa hilo
3.Nyumba ndogo: Nina uhakika asilimia kubwa wana wanawake nje na ndiyo inapelekea kushindwa kumtimizia mkewe ndani, kama ujuavyo nyumba ndogo shughuli yake nzito sasa jamaa akitoka huko kakwanguliwa kila kitu hata miguu inamtetemeka unadhani atawezaje kupiga game?
4. Maelewano mabovu pia huchangia, kama ndani ya nyumba kuna maugomvi kila siku sidhani pia kama hawa watu watakuwa wanaridhishana
Kutokana na hizo sababu chache wanawake wengi sana ndani ya ndoa zao hukosa haki zao za msingi za mapenzi

Mwenye ujuzi na haya mambo au daktari yoyote unaweza pia kutusaidia na
hili swala au kama kuna sehemu tunakosea tueleze.
![]() |
| Hapana Chezea JT |
Mwambie adui yako CHOMA GANZI,
anayekuonea wivu mwambie CHOMA GANZI

dc z gud, spcfclly "stunning"
ReplyDelete🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
ReplyDeleteNataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com