Punyeto(Masturbation) au wengine
wanaita ‘pool’ au ‘nyeto’ ni kitendo cha wewe mwenyewe kujitelea msisimko na
kuweza kujifikisha kileleni kwa njia ya kujichua.
Najua wanaume wengi mmepita happa na wengine mnao sana huu mchezo, ukiingia bafuni unapaka sabuni yako unaanza kazi, au umekaa chumbani kwako ghafla hisia zimekujia au ulikuwa unaangalia blue movies mzuka ukakushika ukajikuta unapapasa mashine mara uweke mate kidogo huku unasugua na mwingine anamafuta maalam kwaajili ya nyeto tu! Haya si mbaya maana
Punyeto ni sehemu ya maisha ya
binaadam na baadhi ya madaktari hushauri siyo tu kuongeza uzoefu katika tendo
la ngono ila pia katika kuboresha afya kwa ujumla wake. Ingawaje kuzidi kwa
kila jambo hata kama ni jema huwa baya, vivyo hivyo kukithiri kwa ufanyaji wa ‘nyeto’
husababisha matatizo mbalimbali kama hayo chini
ATHARI za PUNYETO
Wanaume waliowengi hukidhi haja zao kwa kutuliza matamanio yao kwa njia ya kujichua/ kupiga punyeto bila kufahamu madhara yake: Nikweli punyeto inasaidia kupunguza hamu ya tendo na ni njia nzuri ya kujiepusha na zinaa kwa kujilinda na maradhi ila kiukweli ina madhara na madhara yake mara nyingi hutokea kwa mtu anaependelea sana kupiga punyeto, kutokana na utafiti uliofanywa kisayansi imeonekana punyeto ni nzuri kiafya ila endapo kama utakuwa unapiga mara moja moja na sio kila siku. Napenda kuwashauri watu wanaopiga punyeto wawe makini na wasiendekeze jambo hili kwani madhara yake ni makubwa sana na Athari zake kubwa ni hizi zifuatazo:
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mpenzi wake na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mpenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kusex.

Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue.
Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back
pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele
kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende / Groin /
Testicular Pain
7.Maumivu ya kiuno / Pain / cramp
in the pelvic cavity or/and tail bone
Pia kuna kitu nataka niwadokeze kidogo, hiyo hapo
Njia ya kufanya au kukusaidia upige game ndefu
Mtu anaweza kujamiiana mara mbili
mpaka tatu kwa wiki katika hali ya kawaida ya tendo la ndoa. Ingawaje tendo la
ndoa linaweza kufanyika mara nyingi zaidi pale ambapo mwanaume atajifunza
kufikia kutika kilele cha Raha (orgasm) bila ya kutoa manii (shahawa) na kwa
kufanya hivyo atajihifadhia nguvu ya kibaiolojia katika mfumo wake na kuufanya
Uume kuwa wenye nguvu na kuendelea na mwendo kwa muda mrefu zaidi na mwishoni
kupata mshindo wenye ujazo tosha mkubwa na ulio katika viwango vya ukweli.(Unajua
maana yake yaani ukitaka kukojoa unakuwa kama unajizua au unajibana)
Utajuaje kama ushaaathirika na
Punyeto??
Ukiona unatokwa na shahawa bila hata uume kusimama jua ‘kwishney’ imekula kwako, wewe unapaswa uende ukawaone wataalam haraka sana dalili nyingine ni kama za hapo juu maumivu ya kende, kiuno, nyonga, uchove, nguvu za kiume kupotea, unacheza gemu
Ila bado hujachelewa ndugu yangu
kama umeathiriwa na hili tatizo solution ipo waone madaktari watakusaidia
Acheni kupiga pool mtakuja
kuumbuka jamani!!!
Hilo ndo langu la leo
Kama vipi choma ganzi! (Wanawake
mjiandae naandaa yenu pia)
.jpg)
.jpg)

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
ReplyDeleteasante
ReplyDeleteThis is a fact
ReplyDeleteduuh hii noma
ReplyDeleteduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteDuuuuh!!kumbe....!
ReplyDeleteVery fact.
ReplyDeleteVery fact.
ReplyDeleteNo comment there, mwenye mackio & ackie & mwenye akl .....?
ReplyDeletekaz kwen wapga mgalala, chaguen 1 km c mawl, kuendelea au kuacha lakn n bora kuacha.
babu alsema 'her kinga kulko...... utamalzia mwenyw.
live.it's better to stop
ReplyDeleteasante
ReplyDeletekwa wote wanahitaji namna ya kujikwamua kutoka katika kuangalia picha za ngono, masturbation na kurudisha uume na nguvu za kiume katika hali hakisi ya mwanzo kwa kutumia vyakula na ushauri, tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com
ReplyDeleteduuuuuuh........!
ReplyDelete🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
ReplyDeleteNataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com