SWALI: Mambo jesca? yah nimetembelea blogspot yak an kiukwel
imenivutia thus why nimeamua nikuandike hii coz it seems lyk ur a wise woman
Nina mpenz wang mwak mmoj na nusu sas tatzo ni kwamb nowdays kachange tofaut na
zaman nikimtxt ajib txt on tym or mda mwngne acjb kabsa imefika hatua nicpo
mtafuta anawez kuuchna hat wik then nikimuuliz tatzo nin or mara kuwasilian san
hain maan kam nakupend an non sens reason vp jessy kun mapenz kwel hap? Frankly
speakin nampenda sana tena sana an anajua may b ndo maana ananisumbua nisaidie
ki2 kimoja ths tym natka nimwache but nashndw nifanyej ili nweze kumsahau? Coz
npo kidato cha mthan wa taifa an mda mwing ananipa strec zinazonpa headache
JIBU: Pole sana David ni wazi huyo msichana anakuchakachua
kwa kawaida huwezi kumuignore mpenzi wako kihivyo so niwadhi anakusaliti, ila
usichukue maamuzi ya kumuacha ghafla jaribu kuchunguza ni kitu gani haswa
kinamfanya asiwe karibu na wewe pia jaribu kuchunguza kama kuna mtu anamega
tunda lako au lah! pengine hana mpenzi mwingine ila kuna vitu unamkera kila
ukiongea naye au unapokuwa nae ndo maana anakukwepa. Njia nzuri ni kukaa chini
na kuzungumza, ila kama ni mwanafunzi kama ulivyosema maliza kwanza mitihani
manake shule ndo mpango mzima, manake ukifeli halafu mwanamke pia ukamkosa utajikuta
unadata, so tuliza akili yako we endelea kuwasaliana nae tu kama kawaida
ukimaliza sasa mitihani mwite
ikiwezekana mtoe out mwende sehemu yenye utulivu na muongee mwambie
unavyojisikia na umpe uhuru wa yeye aeleze anavyojisika na anavyokuchukulia wewe, mimi naamini hapo mtapata suluhisho kama mtaachana au mtarekebisha makosa yenu,
ila usikurupuke kumwacha!
Hayo ndo maoni yangu. Kama kuna mwingine atakuwa na ushauri zaidi basi tiririka hapo chini kwenye comment
No comments:
Post a Comment