Hii ni barua ya Diva aliyoiandika kwenye blog yake kwa fans wake ambayo imenikuna hasa ukifikiria i don't like this lady naomba muisome
BARUA YANGU YA MWEZI MZIMA TO MY FANS : SIPENDI
MARAFIKI KABISA HASA WA KIKE
Nimeona niandike hii kwanza labda itasaidia sana mambo yawasichana kutaka sana urafiki na mimi.
guys me sipendi urafiki kabisa na watoto wa kike , had a friend once ilini cost sana nilipotofautiana nae na because nilimuamini sana niliumia , that was high school , then from there on sitaki sana marafiki kusema za ukweli....sio mtu wa marafiki wala mtu wa mazoea ya ovyoovyo na wala siringi but sipendi tu najua matatizo yake hasa kwa watoto wa kike!!
i always miss my high school friends, they were dope yaani compared na ambao nakutana nao hivi karibuni , na kuhusu kuchagua marafiki nachagua sana wa kiume, this is not a joke but napatana sana na soudy brown gossipcpotz ,licha ya kunishauri alot about life but ni mpole , mstaarabu sana na ana imani ya dini kama mimi , so tunapatana sana na nadiriki kusema thats my best friend , he actually knows good and bad , knows if am not ok and when am ok!! na apart from kuwa my manager but he is good hearted , my mentor pia
tunapatana sana thats why hata tulipoenda Tanga he was the only person niliempeleka home akamsalimie my aunt and it was awesome and good sana. he such a friend like i never had
girls got
issues sana ambazo to me siwezi kabisa kukaa na hizo issues zao ,wengi
wanapenda umbea ,kuongea vitu visivyowahusu, kusingizia mambo ya ajabu coz me
yaani nina atittude basi i have to stay away kabisa sehemu penye wasichana hasa
ambao wana tabia za kike ,ambao masaa24 wanazungumzia wanaume na jinsi ya
kuwachuna , wanaokaa kusema wenzao coz ikno na mimi nikitoka watanisema asa mi
nikae nao wanini si bora nikae na simu yangu busy na twitter
nahisi mind za
wanaume ziko active compared na wasichana wengi wa mjini
kiukweli sihitaji
marafiki................nahitaji marafiki wachache tena wa kiume wataoniambia
which is good , which is bad
am Proud kujuana na
soudy brown,b12,baba johny,dommy,faraja ,venture ,peter mo and the rest
feel safe around
hawa my brothers
God is good
..................kuwa my fan , be that and pliz endelea kuwa hivyo na will
make u happy in my show but nje ya hapo , my life is different , very strictly
and ku avoid that am always at home after work and sina rafiki celebrity wa
kike sina kabisa ukweli ndo huo.
and am totally
avoiding girls sio wote lakini wenye drama wachache wakike ninaojuana nao wa
kike wananitosha LOL
MONTHLY LETTER TO MY
FANS
THANKU
Yours
Lovely Diva
Hayo ndo
maneno Diva wa clouds kwa fans wake, HATAKI MARAFIKI WA KIKE EEENH? SO MSIMFUATEFUATE MUACHENI NA LIFE
YAKE. Kwangu mi njooni tu ukinizingua nitakuchana wala sitakuogopa Mi nahitaji
marafiki nahitaji kujua wenzangu wanafanya nini na wanafikiri nini ili na mimi
nifanye nini nifikiri nini, nahitaji kujua maisha ya wengine na kujifunza toka kwa wengine hivyo sitaweza
kufanikisha hilo hadi niwe na marafiki! Kwani umbeya kitu gani bwana wakikusema
kwakitu ambacho hujafanya unadhurika nini?? Mungu wako ndo anayekujua ndani
nje.
Msinitumpie
mawe jamani ni mawazo yangu tu na wala msimtupie mawe Diva ni mawazo yake na
ndivyo apendavyo, so kama na wewe una yako tupia hapo chini!
mwehu huyoooo
ReplyDeleteHahahahahahahaaaaaa ama kweli ya mjini ni shule! Hatimae mnaanza kushikana uchawi wenyewe! Kwenye dunia ya uhalisia Diva yupo sahihi sana, lakini kwa kuwa wasichana wengi wa mjini ni actresses, haina neno km utakuwa na marafiki hata 10,000 lkn hauna "real rafiki" hata mmoja! Maneno kuntu!
ReplyDelete