Ni kwanini unatembea na rafiki au ndugu wa mpenzi wako(shemeji yako)?? Yani umeshindwa kufanya umalaya wako woooote huko nje hadi uufanye kwa mtu wa karibu na mpenzio?? sasa nakwambia hii ni mbaya sana kwasababu ikigundulika aibu yake ni kubwa mno, na usifikiri huyo shemeji yako anakupenda saaana ila amekuona maharage ya mbeya na malaya wa kutupwa na ndio maana wala hajaona aibu kujiingiza kwenye mahusiano na wewe...na siku ikigundulika usifikiri wao watagomba na kuwa maadui bali watakuona wewe ndo unawachonganisha kutokana na umalaya wako na utaachwa kwenye mataa.
We kaka au dada jitahidi sana usiwajengee mazingira ya faragha mpenzi wako na rafiki/ndugu yako, la sivyo utakuja juta, nakueleza ukweli kila mtu ana mapungufu yake!! Simaanishi ndo wawe wanaogopana la hasha ila kuna yale mazingira ya faragha, kwani we huna wivu bwanaaa sasa inakuwaje hapo??

ACHA TABIA MBAYA TAFUTA WA KWAKO!
VERY GOOD
ReplyDeleteVERY GOOD
ReplyDeletehakuna bwana, kwani nikionja kidogo tu kuna mbaya gani,tena wadada hee,kitu kizuri ule na nduguyo,sasa aende nje kuleta ukimwi
ReplyDeleteusiseme hivyo na wako pia ataonjwa!
Deletemimi nimeshaonja wa kwake huyo
ReplyDelete