Karibuni, hapa tunaongelea mahusiano na vitu vingine muhimu katika jamii yetu!
Thursday, July 19, 2012
Aibu gani hii
Kabla hujatoka jiangalie bana nguo gani unavaa yani nguo nyingine unajua kabisa imeisha lakini mzee umo tu dah unataka hadi iongee?? pia kama nguo haikutoshi na inakubana sana usiivae bila hivyo utaaibika kama huu shosti
noumaaaa
ReplyDeleteDAAAAR KIJUNGU KINAFUTIA HICHO..
ReplyDeletepromlem
ReplyDelete