Kwenye pochi yako hakikisha una pedi kipande kimoja kwaajili ya emergency pia ukiweza beba na chupi especial kama ndani utakuwa umevaa vile vichupi vyetu(bikini), kuwa na kipande cha kanga au mtandio kama utaona kanga ni nzito sana, uwe na pini ndogo hii ni kwaajili ya kushikiza shati lako kama kifungo kitakatika na kudondoka bila wewe kujua pia sindano na uzi endapo nguo itachanika au zipu ikiharibika, leso au handkerchief kwaajili ya jasho endapo utapata mzururo wa ghafla...hivi vitu ni muhimu sana kubeba utakuwa ujinga unabeba pochi kuuuuuubwa halafu hivi vitu havipo....
Pochi kutoka Qila Qi2 Fashions ukihitaji piga 0718065194 |
hizi poch naweza pata ya wifi yako?
ReplyDeleteUnaweza kuipata Antips sema tatizo upo mbali ila unaweza kumuelekeza kwangu kama yupo tanzania, then pesa utatuma hata kwa Western money
Deletethanx nashukuru sana bbie pia hayupo nikirudi hope nae atakuwa amerudi. nitakutafta
ReplyDeleteasante sana