Karibuni, hapa tunaongelea mahusiano na vitu vingine muhimu katika jamii yetu!
Thursday, July 19, 2012
Salamu za pole
Seagul ikiwa inazama
Napenda kuwapa pole Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba kubwa uliotokea jana kutokana na ajali ya meli ya Seagul, MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI na awajalie afya na uzima majeruhi wote
No comments:
Post a Comment