Friday, July 27, 2012

Mautundu yanahitajika

Ngoja niwape cha asubuhi

Usikarike eti kwasababu mumeo akipiga 1 ndo basi hasimamishi tena, wakati mwingine wewe ndo unaepaswa kuisimamisha mpe mautundu, gusa sehemu muhimu itasimama yenyewe..kumbuka MWANAUME NI MOTO WA MABUA nadhani mnayajua mabua yanashika moto haraka sana ukiwasha sasa mwanaume yeyote rijali ukimshika mahala pake lazima utaona taratibu kitu kinakuwa kigumu na lazima ujue sehemu ambazo zinaleta msisimko kwa mwanaume wako japo huwa hazitofautiani sana. Sasa nitakushangaa sana kama unalalamika eti mume wangu au mpenzi wangu anatumia mda mrefu kusimamisha, sasa atasimamisha vipi wakati humvutii?? mpe kuwa mjanja amka

heheheeeeee umelipata hilo shostisto!! Najua wanawake huwa hatupendi kuambiwa ukweli wengi watachukia hapa, tofauti na wanaume wengi wanapenda kujifunza, sasa uchukie usichukie mi ndo nisharopoka kuwa mtundu, utaibiwa bure!

Leo niko tayari nirushiane tu mawe

Hilo ndo langu la leo

10 comments:

  1. hahahaa aa haipo hyo hao vcheche 2 hataukiwagusa vp watatambaa2. Kunguru Hafugikiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kuna vicheche ila ukimpagawisha atakuwa anaogopa kuachana na wewe,

      Delete
  2. kwahyo JT hao wote walio kubwaga hukuwaridhisha vzr? wakapata wakufunz wakatambaa? kama anajua c akufundishe na ww ujue. hao vcheche wamezaliwa na wanatabia 1 ka watt wa 2mbo moja.
    napatwa na wasiwasi abt yuuu cmc yua 0000000000 pale katiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. heheheee labda uwaulize walio wahi kuwa wapenzi wangu ndani ya sita kwa sita nipoje, sijawahi kuachwa bali nilishaacha sana, na sio kwamba niliowaacha hawajui mapenzi la hasha ila zipo sababu nyingine...Ningejua jinsia yako ningekwambia kitu!..thanx kutembelea blog!

      Delete
    2. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  3. jesca mie wakiume niiambie kituuu

    ReplyDelete
  4. hahahah we noumaaaa

    ReplyDelete
  5. Hello all, here every person is sharing these kinds of experience, so it's pleasant to read this blog, and I used to visit this blog all the time.

    Here is my blog post; payday loans

    ReplyDelete