Thursday, July 12, 2012

Homosexual

Naomba tuliongelee swala la mapenzi ya jinsia moja.
Siku hizi sio jambo geni kwenye masikio ya watu hakuna mtu asiyejua ushoga ni nini wala usagaji ni nini, mapenzi haya ni kinyume kabisa na kanuni na taratibu za nchi yetu na dini zetu. Na wengi husema zina madhara makubwa sana kwa mtu anaeshiriki haya matendo.

Swali langu kwa kila mtu, jiulize kwenye moyo wako je, ulishawahi kushiriki?? Ulishawahi kuona watu wanashiriki?? Ulishawahi kutazama video za watu wakishiriki?? Ulipatwa na hisia gani?? Usinijibu mimi sababu wengi mtadanganya.
Kiukweli mapenzi haya huleta msisimko mkubwa sana wa mwili hata kama utakuwa unaangalia video au picha tu, japo wengi hawapo radhi kushiriki ila wengi wetu wanapenda kuangalia tu, hata mimi ni mmoja wao huwa napatwa msisimko kila nikiona wasichana wakibusiana( Naomba msinihukumu hapa naongelea videos za lesbian)

Pia nimegundua wasichana wengi ni Bisexual yani wanahisia mbili za kuwa na wasichana wenzao pia za kuwa na wanaume ila wengi huficha na ukitaka kujua hili basi we waleweshe pombe wasichana wawili ambao ni bisexual(hata kama hawajijui ni bisexual) then wakishalewa utaona mambo!!
 
Msinihikumu hayo ni mawazo yangu tu upande wa wanaume(mashoga) sijui labda mniambie nyie


4 comments:

  1. Owky ahsante kwa ushauri wako kuna washikaji zangu mademu ambao nahisi wanaveza kuwa na mahusiano kama hayo ila sina uhakika coz wanaficha sana.This wkend ntawacheck tukale bata...bata likikolea naweza kuprove hisia zangu either ni sahihi au laa....its shame bhana!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Ok, jaribu hilo then utulketee majibu

    ReplyDelete
  3. NI UFIRAHUNI NA UPUUZI TU KAMA MWAMAMKE UNAMTAMANI MWANAMKE MWENZIO KIMAPENZI AMA MWAMAUME UNAMTAMANI MWANAUME MWENZAKO SIJUI

    ReplyDelete
  4. ni hisia ambazo huwezi kulazimisha. mimi naona tusiwahukumu. Mimi siwezi kufanya kwani siwezi...ila kama mtu anapatwa na hisis hizo kwanini tumhukumu?

    nijuavyo mfano wanaume lazima usimamisha ili ufanye, kusimamisha ni hisia zinakuja zenyewe, mimi kuna mabinti wengine hawanisimamishi na hivyo kufanaya nao hushindikana.....

    ReplyDelete