Thursday, July 12, 2012

Wolper & Wema Wapatana

Mimi sioni umuhimu wa mabifu, hii ni hatua nzuri waliochukua wasanii hawa ila kwa Wolper haitoshi amtafute mwenzake Uwoya wakae chini na kuzungumka....leteni raha kwenye tasnia hii ya filamu banah! big up Wema and Wolper

2 comments:

  1. hawajagombana hawa unajua huyu wolper ananifaa sana.kimaisha,uwezo ninao siyo mchezo

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaaaaa we sasa unatafuta ugomvi na Dallas huko siko mie!

      Delete