Ni wanawake wachache sana wanaofikia climax pia si wanawake wote wanaenjoy sex, sasa ulishajiuliza kwanini hauenjoy?? Kwa utafiti wangu kuna vitu nimegundua ndo mara nyingi hupelekea mwanamke asifurahie tendo hilo au asiridhike
1. Kama hajampenda mwenza wake, ni vigumu kufurahia tendo hili kama huyo unaefanya nae hujampenda au hata kumfeel kidogo. Kama mapenzi kwa mchumba wako yameisha usifikiri ukifanya nae mapenzi utafurahi, unajidanganya!! hakuna kitu hapo labda aridhike yeye tu
2. Kufanya mapenzi kwa malengo fulani, hata siku moja huezi kufurahia sex huku ukiwa na nia ya kufaidika na kitu fulani kutokana na hilo tendo kwasababu najua muda wote utakuwa unatamani huyo mwanaume amalize saa ngapi ili upate unachokitaka na hii inatokea kwa wasichana wanaojiuza(machangudoa) na pia hata kwa wale wenye mahusiano na vizito na mapedeshee anafanya sex huku akijua atafaidika na nini na mara nyingi hawa wanakuwa hawana mwanaume mmoja
3. Mawazo, unafanya sex ukiwa na msongo wa mawazo. Hauwezi kuenjoy huku unawaza mtoto anaumwa au tatizo lolote tu linalokukabili pia kwa wanawake wenye mwanaume zaidi ya mmoja wanakuwa na hofu za kufumaniwa so akili yake haitakuwepo hapo kabisa na hivyo kusababisha upande mmoja tu kufurahia tendo
4. Kutoandaliwa, hili ni kosa ambalo wanaume wengi wanafanya, mwanamke ni lazima aandaliwe ili naye afurahi. Mwili wa mwanamke unahitaji taarifa kuweza kujua kitu gani kinakuja ili kuweza kulainisha viungo vya mwanamke na asiweze kuchubuka wakati wa tendo jua kwamba mwanamke akiwa mkavu lazima ataumia na hatoweza kufurahia tendo. ILA katika mzunguko wa mwanamke kuna siku ambazo sehemu zake nyeti huwa kavu sana hata kama mwanamke atakuwa na hamu sana, sasa ukiona hali hii ni vizuri mkatumia vilainishaji au mafuta maalum
5. Ugonjwa, kuna baadhi ya magonjwa humfanya mwanamke asiwe na hamu kabisa na sex hapa ningependa kuwaachia madaktari zaidi, kama unajua huna tatizo lolote kati ya niliyoyataja hapo juu basi nenda kamuone daktari utakuwa unatatizo linngine, na hii pia hutokea nilishashuhudia rafiki yangu akiwa na hili tatizo kumbe alikuwa na tatizo dogo tu ambapo alitibiwa akapona sasa yuko freeeeeesh!
Kumbuka raha ya sex uipe nafasi yake bwana unatakiwa ujiachie mpeane mautundu yooooote. Binafsi hili tendo nalipenda sana coz huwa nazingatia hayo niliyoyasema hapo juu, kama limekukera kalale hili ndo langu la leo,
Kuhusu maswala ya kufika climax nitaeleza siku nyingine, mada ndo naipika bado haijaivaa
Ahsante kwa mafunzo yako mazuri.
ReplyDeleteuko juu Jesca keep it up fundisha watu na uje na topic ya JINS KUHESHIMIANA KUNAVYO LETA RAHA KTK PENZI NA KUONGEZA NAKSHI NA HAMU YA MWENZI COZ HESHIMA NI KUTHAMINI...BY FRANKLIN MWENYEMBEGU HAPA
ReplyDeleteAsante Frank, nitalifanyia kazi hilo
ReplyDeletesomo zuri sana waambie hao unafanya na mtu utazania gogo hata hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume inapotea kabisa kesho skendo hawezi kazi goli moja chali, kumbe chanzo mwanamke
ReplyDeletemafuta gani hayo maalumu dad jesca hayana jina? tuambie basi na cc tuache kuwaumiza
ReplyDeleteHONGERA SANA UNAJITAHIDI KUFIKISHA UJUMBE KWA WALE AMBAO WANATOKA NJE YA MAADILI YA KUTORIDHISHANA KATIKA TENDO LA NDOA UMEONGELEA KIKENI PEKE YAKE HATA KIUMENI PIA NA WAO WANAHITAJI KURIDHISHWA
ReplyDeleteHuko nitakuja tu!
Deletethanx dada J, hey kama unaweza tuelimishe jinsi ya kumuandaa msichana ili wote tuweze kufurahia utamu huo! naomba msaada wako!
ReplyDelete