Friday, July 20, 2012

Mpenzi wako akiwa hivi kimbia!

Kama mpenzi wako atakuwa na tabia hii nitakayoielezea kimbia,
Kama mpenzi wako anaweza kukaa muda mrefu bila kuwasiliana na wewe kwa njia yoyote ile na wala hayupo mbali, chapa lapa.....kwani najua lazima akikutafuta atakwambia dear nimekumiss kweli njoo home basi, na ukienda shughuli ni moja tu kungonoka(sex) baada ya hapo subiri wiki ipite au wiki mbili anakutafuta tena . We hujiulizi hayo ndo mapenzi gani?? kwani wewe umekuwa mashine kila akiwa na nyege ndo akutafute?? Najua hii imetutokea wengi kutokana na mapenzi tulionayo kwa hao wapenzi wetu, sasa wenyewe ndo wanatufanya kama wajinga, ukiona hali ndo hii basi chapa lapa. Usikubali mtu akutumie namna hii.

4 comments:

  1. Replies
    1. Mtu akiwa busy unajua antipas na akiwa kama mpenzi wako lazima atakushirikisha hadi shughuli anazofanya na utakuwa unajua tu kwamba hapa dia wangu yuko busy

      Delete
  2. mm ikinitokea hivyo nasepaa

    ReplyDelete