Friday, July 13, 2012

Matengenezo

Bado naendelea kuitengeneza hii blog nahitaji ushauri wenu ili niifanye iwe nzuri na ya kuvutia kama rangi maandishi picha n.k

6 comments:

  1. Jambo rahisi ni uendelee vile utakavyoona ni sawa, kama tutaona haipendezi ndio tutatoa ushauri.

    ReplyDelete
  2. Saa unayotumia kwenye blog yako iko nyuma, nianze na hilo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah ubarikiwe mno manake kati moja ya vitu ambavyo nimesahau kuangalia ni saa na tarehe...thnx dear

      Delete
  3. kwality yake ikochini sana kuanzia rangi,haina animation hat a moja, pia mpangilio wa mada hauonekani vizuri left side, rigth na midle ujue ni mada zipi zinakaa. najua uko fiti itafika mbali ni mwanzoo huo

    ReplyDelete
  4. Asante, nitamtafuta mtaalam atanirekebishia hilo

    ReplyDelete